Ikiwa inakabiliwa na mechi ngumu hapo kesho dhidi ya Jamhuri ya Afrika ya kati,wachezaji wamewekwa kambini hapo Atriums Hotel Sinza lakini cha kushangaza jana jioni kwa geti la nyuma wachezaji hao walikuwa wanajivinjari na girlfriends wao waliowafuata hapo.kitendo hiki kimefanyika kwa siri bila kocha wao kujua,sasa najiuliza perfomance itakuwa nzuri kweli?
Kama wana mazoezi ya kutosha haina shida na pia haiwezi kuwa sababu ya kufungwa, Ronaldo De Lima kabla ya mechi ilikuwa lazima achakachue ! Na akiingia uwanjani alikuwa anawachakachua pia timu pinzani... :bathbaby:
Lakini ingekuwa kwa ruhusa ya kocha,vinginevyo ni kukuika maadili ya kambi...ndo maana hata huwa wanapata ile sigara kali kwa style hii
Lakini ingekuwa kwa ruhusa ya kocha,vinginevyo ni kukuika maadili ya kambi...ndo maana hata huwa wanapata ile sigara kali kwa style hii