Mademu mbona mkipiga picha mnabinua makalio?

In fact sio kujibinua hasa ila.emphasis kwenye makalio siku hizi ndo imeshakuwa hbr ya mjini..huko IG ndo balaa utadhani mashindano...mtu kama masogange anahitaji kweli kujibinua?
 
Unadhani ni kazi ndogo kubinua Tanga fresh?

Inahitaji trick kali sana.

Hahahaa si zipo brazia zenu zile.maalum kwa kazi hiyo.. Tyta hebu kapicha ka mbinuo wa milks tafadhali
 
Last edited by a moderator:
No No No, hii yangu haitumii Bra. Ni live live tu, zenyewe bila chenga.

ZInatizama juu kama chuma umekisontea sumaku

Hahahaa si zipo brazia zenu zile.maalum kwa kazi hiyo.. Tyta hebu kapicha ka mbinuo wa milks tafadhali
 
wanajua kwa sasa hiyo ndio biashara inyolipa mjini.
 
Hahahaa si zipo brazia zenu zile.maalum kwa kazi hiyo.. Tyta hebu kapicha ka mbinuo wa milks tafadhali

Hizo brazia wanaziitaga "mother's union"
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…