Biashara ya kondoo mkia!
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Ipo lens mbinuko tayari eale wenye lens mbonyeo ndio wanabinua
pozi la kuvimbisha mashavu je??
Jamani sio mbaya tukaulizana swali hili na kupata majibu ya pamoja.
Hivi kwa nini dada zetu wengi kama sio wote wanapenda kupiga picha kwa kubinua makalio yao?
Kwani wakipiga bila kuyabinuwa picha hazitoki?nijuwavyo mimi kitu muhimu kuonekana kwenye picha ni uso (sura)sasa hivyo vijambio mbona ndio mnavitanguluza zaidi?
Hii tabia jamani tuijadili hapa kwa kina nini maana ya mademu kufanya hivyo.
View attachment 161229haya picha hiyo cheki mbinuo huo
dont read a book by its cover...."kizuri chajiuza kibaya chajitembeza"..naona mpaka hapo anajitembeza. Mizigo ya type hii watu hawarudii. For your info "closer to the born the sweeter is the meat"Kusema ukweli ukiwa na mwanamke kama huyu halafu umemuweka ndani lazima kichwa kikuume sana,mimi nikiwowa mwanake kama huyu namvika kininja mwanzo mwisho maana sitaki ugonjwa wa moyo mimi.Jamani hata kama sijamuonja lakini naamini atakuwa mtamu sana huyu dada
Mwanamke watsap bhana,siyo mtu unatembea na mwanamke njian makalio kama anaendesha magari ya mkoa..flat kabisa
Mwanamke watsap bhana,siyo mtu unatembea na mwanamke njian makalio kama anaendesha magari ya mkoa..flat kabisa