Mademu msije anza 'shobo' kwa Samatta

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258

mademu msianze shobo kwa samatta huyo ndiye mchumba wake
 
Wanawake huwa wanapenda mtu ambaye tayari yupo juu.

Ivi mwanamke unajua mwanaume atakuthaminije akigundua ulimpenda na kumkubali wakati hana kitu!!
namshauri tu kama ana watoto wa nje asiwatupe maana ni kipaji hapo
 
Usiogope.................Wanasemaga........ kidogo tu...Mbona wenzio wanafanya na wako vizuri....>>>>>>>>>>><<<<<<<<<<
 
Hivi vimiili vyetu vitamu jamani?
Hongera Samatta kwa kuwa na mchumba mrembo....super model.
Mmependezana sana.
 
Umeishiwa ,nifah kishakupiga gap kwa umbeya umebaki kucomment tu.

Hahahahaa usinigombanishe na binamu yangu warumi tafadhali,wambea hatugombanagi,utachemka tu.

nakwambia,nyota imegoma, ila soon nitarudi, si unajua hakuna kama warumi na hatatokea
Miss you binamu,hebu tuletee ubuyu bwana...naona insta kumekukolea.
 
Hivi vimiili vyetu vitamu jamani?
Hongera Samatta kwa kuwa na mchumba mrembo....super model.
Mmependezana sana.
Alaa... kumbe? Ngoja nikutokee PM.

BTW, kwa taarifa yako ni kuwa Samatta ni ndugu yangu. Nimejua jana tu. So usijali hutakuwa umeenda pabaya tukikubaliana PM huko.
 
Alaa... kumbe? Ngoja nikutokee PM.

BTW, kwa taarifa yako ni kuwa Samatta ni ndugu yangu. Nimejua jana tu. So usijali hutakuwa umeenda pabaya tukikubaliana PM huko.
Hahahahaaaa undugu huo uliogundulika jana mbona hatari?
Ama kweli pata uthaminiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…