Hutaki kuwa sehemu ya familia yenye vipaji? Mi muda si mrefu natokea studio... naenda kuachia singo ya Magufuli mbele kwa mbeleee.... Nna kipaji cha kuimba Komba kasingiziwa tuHahahahaaaa undugu huo uliogundulika jana mbona hatari?
Ama kweli pata uthaminiwe.
Hivi vimiili vyetu vitamu jamani?
Hongera Samatta kwa kuwa na mchumba mrembo....super model.
Mmependezana sana.
Asante mkuu,usijali siku hizi kuna option ya kufollow huku,nifollow unifuatilie vizuri.Naapa nitafuatilia post zako zoooote bi niffa!! Maana ww kwasasa tasnia ya umbea umeishika vyeema! Comments zako zinanipa maisha daily😀
Babaake Samatta ameshamuonya kuwa wanawake wanapunguza nguvu za miguu, kwa hiyo asubiri kwanza mpaka atakapotimiza miaka thelathini.Hivi vimiili vyetu vitamu jamani?
Hongera Samatta kwa kuwa na mchumba mrembo....super model.
Mmependezana sana.
Wema Sepetu hatojali kuwa Samatta ana mwenza au hana,
yeye ni kuchanua tu.
Nifah ni moto wa kuotea mbali,warumi mpe shikamoo ake nifah maana kwa sasa uko nyuma sana ktk kuibua ubuyu,yUmeishiwa ,nifah kishakupiga gap kwa umbeya umebaki kucomment tu.
View attachment 315769
mademu msianze shobo kwa samatta huyo ndiye mchumba wake
duh huu ni uchafuzi na sio uchambuziNi Mzuri Kuanzia Upande Wa Beki ( SURA ), Kiungo ( MWILI ) Isipokuwa Upande Wa Finishing au Ushambuliaji Tu ( MIGUU ) Ni Tatizo Na Timu Itakuwa Haishindi. Miguu Yake Ni Myembamba Mno Kama Stendi Za Maturubai lla Siyo Mbaya Nahisi Mbwana Kakomaa Sana Ugokoni Na ktk Miguu Kwakuwa Miguu Ya Mamsapu Wake Ni Zoezi Tosha Kwake Hasa Wawapo Ktk Battle Field Ya 6*6.
Ni Mzuri Kuanzia Upande Wa Beki ( SURA ), Kiungo ( MWILI ) Isipokuwa Upande Wa Finishing au Ushambuliaji Tu ( MIGUU ) Ni Tatizo Na Timu Itakuwa Haishindi. Miguu Yake Ni Myembamba Mno Kama Stendi Za Maturubai lla Siyo Mbaya Nahisi Mbwana Kakomaa Sana Ugokoni Na ktk Miguu Kwakuwa Miguu Ya Mamsapu Wake Ni Zoezi Tosha Kwake Hasa Wawapo Ktk Battle Field Ya 6*6.