Mademu rahisi kuwapata

Mademu rahisi kuwapata

delusions

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
5,002
Reaction score
1,287
Sijaelewa mpaka mida hii
; nimekaa na dada mmoja kwenye daladala wakati anateremka akanikanyaga kwa nguvu nikamuuliza vipi? Kanipa bonge ya sonyo na kuniambia nilidhani bubu mbona muda wote hujaomba hata namba ya simu! Bado natafakariìi
 
Sijui hili litoa mada limeshiba maharage ya wapi
 
Limeshiba maharage wakati anaelezea hali halisi
Masister duuu zangu aisee mimi nimetoka manyara mererani nimeuza vyangu nimepata pesa ila sina demu wa kula nae maisha kwa iyo kama kuna msichana yuko tayar kula vyangu nami nile vyake aje pm aisee sichagui umri,rangi,kabila ila weusi watapewa kipaumbele
Wanakuja mkuu usisahau mrejesho
Sijui hili litoa mada limeshiba maharage ya wapi
 
Back
Top Bottom