KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
JUNRAY BARAWING kutoka UFILIPINO jana alitawazwa na wataalamu wa kile kitabu cha kuweka kumbukumbu za maajabu Duniani cha 'GUINNESS' kwamba kwasasa ndie mtu mfupi kuliko watu wote wanaoishi Duniani kwasasa akiwa na urefu wa inchi 23 yaani cm 58 akiwa amepungua inchi 3 zaidi ya alikuwa akishikilia Record hiyo KAGHENDRA MAGAR kutoka Nepal! JUNRAY ametimiza miaka 18 juzi na kumfanya atambulike kama mtu mzima kwa sasa na ndipo Chief Editor wa 'GUINNESS'.
Hivi karibuni aliota 'ndoto nyevu' na kuthibitisha ni mtu 'mzima'.
Huyu dogo kwa vile ameukwaa umaarufu, akija hapa bongo atangoa mademu kibao, na akibahatika kuwa na hela, itakua balaa zaidi.
"Kazi ni kwenu"