Mademu wa kihaya na kichaga

Makonde plateu

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
1,443
Reaction score
3,480
Merhaba!

Nikiri kutoka kwenye moyo wangu ukinimbia Nichague demu gani kutoka bara kati ya mhaya na mchaga mimi nitamchagua muhaya kutoka kwenye moyo sema tu nilikosea kuoa mchaga tu na najuta sana aisee.

Mademu wa kihaya kwanza wako romantic, hawana dharau,wana heshima na wanajua sex kunako sita kwa sita.

Nilikuwa na mchepuko wangu wa kihaya very romantic Jana amenipigia simu ameniliwaza baada ya kugombana na mke wangu wa kichaga.

Mademu wa kichaga hawako romantic,wakorofi,sio wapambanaji na pia Kuna kashfa ya kuua watu na hii kweli mimi nimeishhudia kwa mke wangu wa kichaga wanazingua sana.

Wanawake wa kihaya mungu awabariki Msiwe kama wanawake wa kichaga.Ahsante wanawake wa kihaya.

Cde.lumumbashi,
Mkristo mkatoliki
 
Ohooo umeyakanyaga bwashee, subiria mabomu
 
Mwanamke ni mwanamke tu, leo huyo unaemuona bora ukikaanae mwaka utakuja kumsema vile vile.
Hakuna aliye na uzuri wa moja kwa moja wala hakuna alie na ubaya wa moja kwa moja.

Mimi kwangu mwanamke bora ni yule anajua wajibu wake kama mwanamke dhidi ya mwanaume,makosa ya kibinadamu hayaachi kuwepo ila walao akizingatia wajibu wake walao hata kwa asilimia 45 ana afadhali.

Mwanaume automatically anatimiza wajibu wake kwa mwanamke hilo halina shaka, ila wengi wa wanawake walio kwenye mahusiano rasmi hawatimizi wajibu wao, matokeo yake ndio kama ya mleta mada kumuona yule ni bora kuliko huyu.
 
Kwa nini hujauawa na mkeo wa kichaga?
 
Vice versa is true

Wahaya na dharau ni kama tacco na chupi
Wahaya na uromantic ni ardhi na mbingu

Mzee umeandika kinyume sana mbona
 
Km unataka hela namishe za hela muda wote oa mchaga. .hawa watu wamechukua tabia za wakenya. ..all the time ni mishe tu. .but no love,mhaya utapata vyote in 1 backet. .mishe yupo, misifa yupo, kujua kila kitu yy,penzi ndio usiseme
 

Ushashikwa mbupu tulia wewe unyoroshwe umempenda mwenyewe huo ni mzigo wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…