Da Womanizer
JF-Expert Member
- May 24, 2010
- 1,577
- 150
- Thread starter
-
- #21
Mkuu hebu google Sigmund Freud utaelewa ni kwa nini kila siku habari ndiyo hiyo. Halafu mkuu hili jukwaa ni MMU we ulitegemea ukutane na nini siasa?Hivi kwanini kila siku ni Mademu..Wanawake...Mademu..Wanawake...Mademu ....
Hizi thread zinakera vile! kha!
Wengine sijui hawajakaa kwenye matumbo ya Mama zao? Au walikulia kwenye incubators? khaa!
Kitufye cha senksi hakionekani aisee. Unastahili zawadi kwa udadavuzi huu. Mkuu ongezea nyama basi kdogo.Kuna tofauti kubwa sana kati ya "MAPENZI" na " SEHEMU ZA SIRI" na "KUFANYA TENDO LA NDOA"!!! Tatizo kubwa watu wenye "akili dhaifu" wanahisi haya maneno ni sawa sawa!
wewe acha matusi huku mwelewa alichosema ni kweli umekosea kuweka yale maneno ambayo kimaadili siyo mazuri,huku kuna watoto watu wazima nk, hivyo lugha ya kistarabu muhimuAcha matusi wewe ukware wangu hapo unaingiaje. Halafu wewe si uliaga hapa.........au unawashwa??Acha kuharibia watu siku bila sababu. Anyway nime-edit hapo kwenye visimi
Chelle nashukuru sana, hapo kwenye kijani ina maana anaogopa nitamdai????!!!! Na kama hajanikubali kiivyo kwa nini yuko nami kwa muda wote huu? Hapo kwenye nyekundu, ni kwamba sehemu tuliyoenda ni ya kawaida sana....halafu mi nilikuona pale nikajificha lol.......Hapo kwenye bluu ina maana kujiremba ni kutojiamini??? Hebu fafanua kidogo, we hujirembi chelle au nawe pia hujiamini(kama unajiremba).
Kwa kifupi naomba kufahamishwa.
Hapa magriit thinkaz wanajadili nini hasa jumatatu hii?:rain:
chochote kile unachokifahamu kuhusu madem wa kinyarwanda.....discussd
Nimemuuliza Lizzy ila sijaridhika nimeona nije huku kwenye kisima cha mambo yote nijichotee kadiri inavyowezekana........Wewe xperience yako ikoje?Siumuulize!
Pole sana..........Sijui tukusaidieje sasa?Hili neno huwa silipendi sema wanawake basi jamani aaahhh
Mkuu hapo kwenye nyekundu ni kama ulikuwepo vile, Ila mimi sijalala nalo lakini lina-demand kujua kama nalipenda kabla ya mambo yote......kaaaaaaaazi kwelikweli. Rudi mzee utoe mauzoefu zaidi.dah man.....upo same na mimi,yani hapa kuna litoto la kagame nimelala nalo siku tano sijaligonga,coz likitaka kujua kama nalipenda ama vp,lipo so hot na hana tofauti na huyo unayemsema,yupo so natural,na wiki hii keshanialika kwake...nadhani nitarudi soon kukuinform bt wht i knw wanyarwanda ni wazuri na hawapendi kujiremba black yao inapendeza mno na wapo confidence kwenye ''mpango mzima'' sio waoga kabisa,ni wapole ...ila kwa mtazamo wangu ni demu wa kuhit(hata kama ni for long time) and then run....dont forget ''zana'' mkubwa!!!
Big braza una mning'inio ziada??!!! Hapa tunajadili watoto wa kagame leoKwa kifupi naomba kufahamishwa.
Hapa magriit thinkaz wanajadili nini hasa jumatatu hii?:rain:
Namjua mmoja ni mchunaji mzuri kwahiyo inawezekana anataka kukuingiza mkenge kwakuonyesha hata usipend pesa nyingi kwake ili aje kukuchuna vizuri ukishaingia line!Alafu anajipodoaga mpaka anatisha..sasa sijui kama yeye hana comfidence kama wenzake au la!Nwyz majibu yote unaweza kuyapata kwa huyo mdada ukiwa mjanja!Alafu ogopa sana mtu anaependa kujisifia!Nimemuuliza Lizzy ila sijaridhika ...Wewe xperience yako ikoje?
Hivi mtu unaemuita "li" unakua na hisia nae kweli?Mkuu hapo kwenye nyekundu ni kama ulikuwepo vile, Ila mimi sijalala nalo lakini lina-demand kujua kama nalipenda kabla ya mambo yote......kaaaaaaaazi kwelikweli. Rudi mzee utoe mauzoefu zaidi.
Hyo nyekundu ni sababu mojawapo iliyonifanya nianzishe hii sredi. Endelea kutoa mauzoefu zaidi.Namjua mmoja ni mchunaji mzuri kwahiyo inawezekana anataka kukuingiza mkenge kwakuonyesha hata usipend pesa nyingi kwake ili aje kukuchuna vizuri ukishaingia line!Alafu anajipodoaga mpaka anatisha..sasa sijui kama yeye hana comfidence kama wenzake au la!Nwyz majibu yote unaweza kuyapata kwa huyo mdada ukiwa mjanja!Alafu ogopa sana mtu anaependa kujisifia!
Hili neno huwa silipendi sema wanawake basi jamani aaahhh
Usiogope Lizzy, hapo li inasimama kuwakilisha kuwa ni toto la kagame yaani kwa maneno mengine toto zuriiiiiiiiii hahaha............Ukifuatilia posti niliyojibu utaelewa fresh.Hivi mtu unaemuita "li" unakua na hisia nae kweli?
Big braza una mning'inio ziada??!!! Hapa tunajadili watoto wa kagame leo