Mvina JF-Expert Member Joined Aug 2, 2009 Posts 998 Reaction score 34 Dec 5, 2009 #21 Huwezi hata siku moja utatumia mtu mmoja kama sample ili kuelezea mazuri au mabaya ya watu wote watabora au hata sehemu yeyote ila na mbaya zaidi ni hapa unapotaka kubariki uovu wako na huyu mwenza wako.Acheni mambo ya kuiga yatawapeleka pabaya.
Huwezi hata siku moja utatumia mtu mmoja kama sample ili kuelezea mazuri au mabaya ya watu wote watabora au hata sehemu yeyote ila na mbaya zaidi ni hapa unapotaka kubariki uovu wako na huyu mwenza wako.Acheni mambo ya kuiga yatawapeleka pabaya.