Mademu waliotembea na Usher Raymond wanaula kimaisha

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
448876D300000578-0-image-a-65_1506075114190.jpg
Mzuqa sana wanajamvi

Inasadikika mwanamuziki mashuhuri wa Marekani Usher Raymond keshawahi kuzuru Nchini kimyakimya kula Bata mbugani.

Sasa hivi jamaa ana kesi zinamuandama kwa kuwaambukiza mademu magonjwa ya zinaa mkanda wake jeshi (Herpes) na wanadai fidia Hadi 20m $.

Na lazima huko mbugani alipokuja kwenye vekeshen alitandaza miti tuu. Yeye kwake Kinga atumii. Kwa mantiki hiyo mademu kama mlitembea naye Na una maambukizi, haya tafuta mwanasheria nakuchangamkia Fursa faster

44954D7C00000578-0-image-a-55_1506073564377.jpg

Huyu hapo juu kibonge anaitwa Quantasia Sharpton 21 kaibuka majuzi Na mwanasheria wake huyo mwanamama mzungu akimtuhumu Usher alimuambukiza mkanda was jeshi ( Herpes) akiwa miaka 18.​

4488F66E00000578-0-image-a-53_1506073555798.jpg

Huyu hapa naye Laura Helm tena alikuwa besti wa mke wa Usher naye anataka 20$million kwa kuambukizwa.​

Cha ajabu mke wa Usher Hana maambukizi yeyote.

Wazungu wanavyochukia mafanikio ya mablacks hi ishu wameishupalia kichizi kwenye media.

Fursa hiyo kwa mademu zetu kama usher alikugegeda.
 
View attachment 598812 Mzuqa sana wanajamvi

Inasadikika mwanamuziki mashuhuri wa Marekani Usher Raymond keshawahi kuzuru Nchini kimyakimya kula Bata mbugani.

Sasa hivi jamaa ana kesi zinamuandama kwa kuwaambukiza mademu magonjwa ya zinaa mkanda wake jeshi (Herpes) na wanadai fidia Hadi 20m $.

Na lazima huko mbugani alipokuja kwenye vekeshen alitandaza miti tuu. Yeye kwake Kinga atumii. Kwa mantiki hiyo mademu kama mlitembea naye Na una maambukizi, haya tafuta mwanasheria nakuchangamkia Fursa faster

View attachment 598808
Huyu hapo juu kibonge anaitwa Quantasia Sharpton 21 kaibuka majuzi Na mwanasheria wake huyo mwanamama mzungu akimtuhumu Usher alimuambukiza mkanda was jeshi ( Herpes) akiwa miaka 18.​

View attachment 598809
Huyu hapa naye Laura Helm tena alikuwa besti wa mke wa Usher naye anataka 20$million kwa kuambukizwa.​

Cha ajabu mke wa Usher Hana maambukizi yeyote.

Wazungu wanavyochukia mafanikio ya mablacks hi ishu wameishupalia kichizi kwenye media.

Fursa hiyo kwa mademu zetu kama usher alikugegeda.
Anagonga mikanda haachi loops
 
Hahahahahahaah Usher kala na huyo mbongee ???: hahahahaha kumbe jama ana jina mahaba hawezi akaufunga mkia wakee
 
Mkewe ambaye pia ni meneja wake anadai hana maambukizi yoyote yale. Na mama yake Usher kamkoromea mkwewe kwa kutokuwa mstari wa mbele kumtetea mumewe hadharani.
 
Huu mkanda wa jeshi Usher kautoa wapi?Kwani alikuwa mwanajeshi?Je jeshi la marekani linaruhusu raia kumiliki mikanda ya jeshi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom