inapatikana tena kwa urahisi tu mbona....hapo anachanua kama anazaa ukiingia breki pumb.uHuyo mnene ni kwelii?eheheh mpaka kuipata k hamu ishaisha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we jamaaHuu mkanda wa jeshi Usher kautoa wapi?Kwani alikuwa mwanajeshi?Je jeshi la marekani linaruhusu raia kumiliki mikanda ya jeshi?
HahahaNa kuna dume pia kajitokeza kadai ameambukizwa herpes na usher raymond. Mzee sijui alikula kiboga (Thinking Out Loudly)
Ehheeh wanataka umaarufu haoNa kuna dume pia kajitokeza kadai ameambukizwa herpes na usher raymond. Mzee sijui alikula kiboga (Thinking Out Loudly)
Hahahaha wewe mkuu nomaHuu mkanda wa jeshi Usher kautoa wapi?Kwani alikuwa mwanajeshi?Je jeshi la marekani linaruhusu raia kumiliki mikanda ya jeshi?
umaarufu kumpeleka mtu mahakamani,na ikigundulika sio unadhani hata yeye haogopi kulipishwa faini kwa usher ?? Itakuwa kaambukizwa alikobakwa na wengine huko ameupata aliko upata anasingizia usher..ila kama mzee amekula kiboga duh !! !Ehheeh wanataka umaarufu hao
Siamini kama usher katia huyo demu mnene aiseeumaarufu kumpeleka mtu mahakamani,na ikigundulika sio unadhani hata yeye haogopi kulipishwa faini kwa usher ?? Itakuwa kaambukizwa alikobakwa na wengine huko ameupata aliko upata anasingizia usher..ila kama mzee amekula kiboga duh !! !
Quantasiasema nini Lisa broom anatafuta umaarufu kichozi yule lawyer. Kesi za ma star wengi now days ako nazo yeye.Siamini kama usher katia huyo demu mnene aisee
Hahahahahaha kumbeeQuantasiasema nini Lisa broom anatafuta umaarufu kichozi yule lawyer. Kesi za ma star wengi now days ako nazo yeye.
Usher anamsalandia yeye
Kelvin hart ana msalandia yeye
Rob kardashian vile vile yeye.
Tena imeniuma zaidi ya kevin hart. Yule demu FBI walimkomalia kwa nini kavujisha ile video as alikuwa anam blackmail hart atoe mpunga ili yeye asiitoe,hart akagoma demu akairusha and it went viral. Ki lisa broom eti kamchukua kumtetea na tabia ake anawaandikia speech wajieleze mbele ya waandishi wa habari as quantasia did..Hahahahahaha kumbee