long live my love
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 1,064
- 1,012
Nawaasa mabaharia wenzangu kwa hili. Nimekuja kubaini kwamba pisi zinaamuaga kunipotezea kisa sio mhongaji mzuri. Kutokana na muonekano wangu wa nje mademu wanajuaga ni mhongaji kumbe wapi,mimi nikizidisha sana demu nampa elfu kumi ila mara nyingi buku tano. Wengi nikitongoza wanaanza vizinga huwa nawaambia mpaka siku tukionana na upande wa nauli nawaambia wakope nitarudisha. Sasa kila nikipata demu akiniomba mpunga mara mbili tatu akiona nimemkazia ananifungia vioo. Sasa najiuliza hivi siku hizi hakuna real love? Demu nimemtongoza mchana jioni matatizo kibao. Sawa nitatoa lkn sasa napanda damu mpaka 15,000/= maana nimejifunza sasa ila mziki wake sio wa kipolepole,nitalipiza.
napanda damu mpaka 15,000/=
20K cement mfuko mmoja na site umeshafika na change inabaki nauli ya Bodaboda kurudi stand kutoka unakopanga tofali zako....Wanawake wanataka matunzo. Ukimpata ujue unabeba majukumu mengi kama sio yote. We wape hela kama unazo ila isizidi elf 20 bila kuchakata.
20K cement mfuko mmoja na site umeshafika na change inabaki nauli ya Bodaboda kurudi stand kutoka unakopanga tofali zako....
Kijana gawana na wazazi wako kile unachokipata kadiri wanavyosema asante na wewe ndivyo unavyozidi kuchanua,hii theory wengi hawapendi kuitumia wanajikuta wanajikunja na kazi nyingi kipato hakionekani kwa sababu wanatapanya hovyo na viumbe visivyokuwa na shukrani
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Wananikimbia mkuuKupanda damu ni ushirikina mkuu, au we freemason
Kivip tena mkuu?Kupanda damu ni ushirikina mkuu, au we freemason
WakimbilieWananikimbia mkuu
Asante kwa kuniunga mkono. Kwani hizo papucha wao wanalipia kodi?20K cement mfuko mmoja na site umeshafika na change inabaki nauli ya Bodaboda kurudi stand kutoka unakopanga tofali zako....
Kijana gawana na wazazi wako kile unachokipata kadiri wanavyosema asante na wewe ndivyo unavyozidi kuchanua,hii theory wengi hawapendi kuitumia wanajikuta wanajikunja na kazi nyingi kipato hakionekani kwa sababu wanatapanya hovyo na viumbe visivyokuwa na shukrani
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Genye zinasumbua,sema wenyewe hawako fair.Wakimbilie
Nikimpata asiependa hela naoa. Nikioa sihongi tenaKwani wewe mkuu unatafuta real love au ngono?
Umeniwahi. Na mimi nilitaka kusema hivyo hivyo [emoji16][emoji16][emoji16]Sasa si uache ubahili mkuu
We unawafanya wa genye unategemea nnGenye zinasumbua,sema wenyewe hawako fair.
we huyo mwanaume unayemsifia ashakuoa???Acha kutafuta huruma ya wanaume mitandaoni, utaolewa dogo....