Mademu wanaojikanda

Mademu wanaojikanda

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Chezea Mapenzi Ya Mbali Wewe..
Wewe Unaish Dar Alafu Baby yuko Sumbawanga
kikazi.Hamjaonana Miezi 5 Kutokana Na Ubize wenu
Na Majukum..
Siku Mnaonana Unamuuliza Miezi Yote "Hii Ivi Baby
Ujani cheat kweli...Utamuona Anavyopasasa Macho Mbele kushoto juu na chini alafu anakujibu kwa sauti
isiyo na konfidensi huku anachanganya na brocken
inglish,"Ah bwana baby Unajua kabisa siwezi kucheat,
am so in lov wisi you...Kweli baby ni mejikanada sana
ali ilivyozidi kuwa mbaya"Kuna sura Ya Kujikanda
Usawa Huu Thubutu Kujikanda Miezi 5. hata majipu sio..
Ana kwambia "NOTHING HAPPENED BABY" Eti baby
nikizidiwa najikanda ujikande umekuwa unga wa
ngano wewe Mapenzi Ya Mbali Ni Majanga
tu..Unajikanda Miezi 2 Ya mwanzo Tu kwa
kujisonyasonya kama umeangusha wallet yenye ada baada ya hapo Unakandwa Na Mkandaji..
 
uaminifu ndio silaha kubwa katika mapenzi..ata bby awe mbali wap...hutajaribu kufanya mengine..japo changamoto za apa na pale huwepo....hofu ya mungu pia ni silaha tosha ya kusimamia mahusiano ....

wangap waume zao husafil kwenda nje na kukaa zaid ya mwaka..??..sembuse umbali wa dar sumbawanga per day ushafika....

..mtazamo tuu
 
Hao waaminifu wanapatikana sayari gani??
 
Yote yanawezekana,
Kujikanda,
Kuchepuka, na
Kuvumilia,
Inategemea na aina ya mtu na msimamo wake moyoni,
Mwingine anakandwa na mkandaji kila wiki lakini bado anachepuka.
 
Ajikande kwani kaumwa na nyuki😵😵😵😀😀😀
 
Yote yanawezekana,
Kujikanda,
Kuchepuka, na
Kuvumilia,
Inategemea na aina ya mtu na msimamo wake moyoni,
Mwingine anakandwa na mkandaji kila wiki lakini bado anachepuka.
Bonge moja la point
 
Back
Top Bottom