Mademu wanaokuja juu JamiiForums

Ww dume Zima unaenda chuo kusoma kiswahili pumbav

Wa kishua
Nani kakwambia nimeenda chuo kusoma Kiswahili?

Wewe unaye assume kitu ambacho hujaambiwa ndiye mpumbavu.

Tena unakumbatia utamaduni wa kuona ujinga ni ujanja.

Tena unakumbatia kuita watu wanaoleta maana za vitu vilivyokuwa verified wapumbavu.

Umekosa elimu, umekosa malezi, umekosa staha, umekosa ustaarabu, ni guluguja unayejibebedua bebedua bila kutumia ubongo walauti wa mgongo.

FOH.
 
Tuliza mshono dogo hizi sio level zako

Wa kishua
Wewe nani dogo?

Ungekuwa wa kishua ungekuwa na basic home training na kuondoa uharo wako hapa malaya wa bei chee mwenye gono sugu wewe.

Unataka matusi kutukanana?
 
Huna elimu we kaongee na mazeero wenzio

Wa kishua
Ungejua elimu ni nini usingeleta umaaluni wako hapa.

Elimu hutaijua hata ikiwa chini ya pua yako.

Ushakuwa blocked hata utachoandika sioni.

Sent from my Kimulimuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…