ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Japo kila mtu ana mapendeleo yake ila jamani mapaja manene manene nayapenda yananichanganya.wengine wanapenda wembamba eti kwa sabab wanachangamka kwenye game na rahisi kuwakunja..nyie acheni utani hata wanaume 5 wakikaa sehemu akapita demu mwenye mzigo halafu ana sura mbaya na akapita demu mkali ila chembamba..lazima wanaume 3 wageuze shingo kwa ebony.