Kijana mmoja ajulikanae kwa jina la MADENGE anaemiliki office Kali sana maeneo ya ilala, Leo amempigia magoti kocha AMUNIKE baada ya kumkosea kocha huyo... Ndipo kocha akamchapa makofi makali sana kijana huyo mtukutu na kumlazimisha amuombe msamaha mbele ya hadhara.