Madeni ni chanzo cha uke mkavu na Kukosa hisia za Mapenzi. Wanandoa epukeni Madeni

MELEKAHE

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2023
Posts
1,340
Reaction score
5,588

Madeni na changamoto za kifedha vinaweza kuathiri afya ya mwili kwa njia nyingi, ikiwemo afya ya Uzazi wa Mwanamke.

Wakati mtu anakabiliwa na Msongo wa Mawazo kutokana na hali ngumu ya kifedha, mwili hutoa homoni za Stress (Cortisol) kwa wingi ambayo huathiri uzalishaji wa Homoni za Kike yaani Estrogeni hivyo kusababisha ukavu wa Uke, kwani homoni hii ina jukumu kubwa katika kudumisha Unyevu.

Vilevile, Msongo wa mawazo kutokana na Madeni unaweza kupunguza hamu ya kushiriki Tendo la Ndoa, jambo linaloweza kuathiri mtiririko wa damu kwenye Uke na kusababisha Ukavu zaidi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka hadi basi.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Kweli tena mkuu haisimamagi. Siku ukiwa mjamaa falagha, kama itatokea ukafanya kitu kikampa discomfort kama kumfokea, kumwambia kitu akahisi aibu nk, hio kitu haitasimama. Migegedo inaongozwa na brain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…