johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwahiyo unashauri tuendelee kukoopa.........Kwa mujibu wa taarifa ya VoA, Azam na Citizen TV ni Kwamba nchi ya Zambia ndio imeelemewa zaidi na madeni wakiwa kundi Moja na Zimbabwe, Congo, Kenya na Msumbiji
Tanzania tuko ukanda Salama Kwamba madeni yetu Yako ndani ya Uwezo kuyalipa
Malawi, Nigeria na Senegal ni walipaji wazuri wa madeni na hivyo kuwafanya wawe salama zaidi Kwani madeni yao ni kiduchu
Ahsanteni sana [emoji23]
Wakopeshaji wanaturuhusu tuendelee kukopa kwa Mfumo wa Riba nafuuKwahiyo unashauri tuendelee kukoopa.........
Kwa mujibu wa taarifa ya VoA, Azam na Citizen TV ni Kwamba nchi ya Zambia ndio imeelemewa zaidi na madeni wakiwa kundi Moja na Zimbabwe, Congo, Kenya na Msumbiji
Tanzania tuko ukanda Salama Kwamba madeni yetu Yako ndani ya Uwezo kuyalipa
Malawi, Nigeria na Senegal ni walipaji wazuri wa madeni na hivyo kuwafanya wawe salama zaidi Kwani madeni yao ni kiduchu
Ahsanteni sana π
VoA, Azam na Citizen TVVOA wakisema tumetoa Bahari mnanuna ila wakisema mambo mengine mnaungana nao
Kama unakubali hili kutoka VOA then kubali na ishu ya Bahari
Mama naomba pikipiki.Kwa mujibu wa taarifa ya VoA, Azam na Citizen TV ni Kwamba nchi ya Zambia ndio imeelemewa zaidi na madeni wakiwa kundi Moja na Zimbabwe, Congo, Kenya na Msumbiji
Tanzania tuko ukanda Salama Kwamba madeni yetu Yako ndani ya Uwezo kuyalipa
Malawi, Nigeria na Senegal ni walipaji wazuri wa madeni na hivyo kuwafanya wawe salama zaidi Kwani madeni yao ni kiduchu
Ahsanteni sana π
====
Pia soma:
Tunakopa kwa kujilinganisha na kenya? For real hapa ndipo akili zenu zilipofikia?Kwa mujibu wa taarifa ya VoA, Azam na Citizen TV ni Kwamba nchi ya Zambia ndio imeelemewa zaidi na madeni wakiwa kundi Moja na Zimbabwe, Congo, Kenya na Msumbiji