Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madeni gani tena wakati vyeo vyote walivyopata watu kuanzia 2016 sasa hivi vinaanzia novemba 2017Mwezi ujao kuna mpango wa serikali kulipa madeni ya watumishi na wazabuni, je madeni yanayohusiana na mishahara kama arrears yatalipwa?? Mwenye taarifa atujuze.!
Watendaji walipe kutoka mifukoni mwao kama hapeleki pesa?Mimi sina uhakika .kama angekuwa analipa mwenyewe Raisi ingewezekana.maana watendaji wake wanaishiaga kwenye michako michakato na siyo kulipa.mpaka Raisi aingilie kati tena.napendekeza Rais angekuwa na kama ka application hivi ka kumalati kujua status ya utekelezaji agizo lake
Kwa mfano wafanyakazi wa Ilala municipal,hasa idara ya afya wameshaandikishwa barua za kudai ili kulipwa stahiki zao za likizo karibu mara sita sasa lakini hakuna kitu kinachendelea.
Nchi ya hovyo kabisa...mwezi ujao itakua mwaka ujao....tumechoka Na hadithi hii isiyoisha....wana angalia kukiwa Na janga la kutia aibu kwao wanaleta hadithi ya kulipa arrears... Wabongo mkisahau nao wanaendelea na issue nyingine....him rahisi sana kusoma huu utawala dhalimu.....sasa hivi watu washasahaulishwa madeni....hadithi nyingine itakuja....
kupanda kwenda wapi mkuu au ndio kama kale ka nyongeza ka mwaka janaWatumishi mishahara itapanda 2019
Kumbe zile B200 zilikiwa za kichinaWatendaji walipe kutoka mifukoni mwao kama hapeleki pesa?
Nchi ya hovyo kabisa
Ndiyo mkuu 6 itapendeza.kupanda kwenda wapi mkuu au ndio kama kale ka nyongeza ka mwaka jana
Sasahivi ni mwaka 3 kwenye utawala wake hakuna mtumishi aliyepanda hata mmoja, usimwamini huyu mzee anachoweza kusema ukweli ni salama pekee.Kumbe zile B200 zilikiwa za kichina
Serikali dhalimu kupita kiasi...nchi ya tz si ya hovyo bali serikali inayotawala....maana nchi iko pale pale na inapendeza....lakini shida ni watawala wa nchi hii....ni shida sana pale unapotawala kwa kiki,dhihaka, fitna,fedhuli Na laghai....hata Mungu hapendi hii kitu....