Madeni ya mtandao na kukopa Bank

Madeni ya mtandao na kukopa Bank

Mtimkavuorg

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
655
Reaction score
527
Siku za hivi karibuni ukiwa na mkopo kwenye ulikopa kwa kutumia namba yako ya NIDA basi upati mkopo kwenye Bank.

Je ni sahihi kunyimwa mkopo wa bank eti ulikopa Kwa kutumia NIDA namba tena wanakutafuta adi waone udaiwi Sasa mtu anaweka dhamana mshahara wake bank fulani wanapekua NIDA kweli tutatoka jamani
 
Siku za ivi karibuni ukiwa na mkopo kwenye namba yako ya Nida basi upati mkopo kwenye Bank je ni sahihi kunyimwa mkopo wa bank eti ulikopa Kwa kutumia Nida namba tena wanakutafuta adi waone udaiwi Sasa mtu anaweka dhamana mshahara wake bank furani wanapekua Nida kweli tutatoka jamani!!!
Hutakiwi kudaiwa kokote kama unataka kuchkua mkopo bank.
Hata ukiwa una deni la songesha basi hukolifai
 
Siku za ivi karibuni ukiwa na mkopo kwenye namba yako ya Nida basi upati mkopo kwenye Bank je ni sahihi kunyimwa mkopo wa bank eti ulikopa Kwa kutumia Nida namba tena wanakutafuta adi waone udaiwi Sasa mtu anaweka dhamana mshahara wake bank furani wanapekua Nida kweli tutatoka jamani!!!
Awatak utapel
 
Huo ndio utaratibu mkuu kuna kitengo cha kufuatilia watu wasiolipa mikopo kilikuwa hakifanyi kazi yake, naona sasa kimeanza kufanya kazi yake. Kenya kimeanza zamani. Ukikopa sharti ulipe.
 
Siku za hivi karibuni ukiwa na mkopo kwenye ulikopa kwa kutumia namba yako ya NIDA basi upati mkopo kwenye Bank.

Je ni sahihi kunyimwa mkopo wa bank eti ulikopa Kwa kutumia NIDA namba tena wanakutafuta adi waone udaiwi Sasa mtu anaweka dhamana mshahara wake bank fulani wanapekua NIDA kweli tutatoka jamani
Yes umoja wa mabenk TBA wanashirikiana ukikopa huku huwez chukua sehemu ingine otherwise waununue huo mkopo

Wakopeshaji wa mitandaoni baadhi wanatumia mitandao ya simu ila ni kolabo na bank

Mfano somgesha ni Tanzania commerciao bank

Azania bank nao wameshirilian na mpesa pamoja na finca

So watafika kote tu
 
Back
Top Bottom