Mtimkavuorg
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 655
- 527
Hutakiwi kudaiwa kokote kama unataka kuchkua mkopo bank.Siku za ivi karibuni ukiwa na mkopo kwenye namba yako ya Nida basi upati mkopo kwenye Bank je ni sahihi kunyimwa mkopo wa bank eti ulikopa Kwa kutumia Nida namba tena wanakutafuta adi waone udaiwi Sasa mtu anaweka dhamana mshahara wake bank furani wanapekua Nida kweli tutatoka jamani!!!
Awatak utapelSiku za ivi karibuni ukiwa na mkopo kwenye namba yako ya Nida basi upati mkopo kwenye Bank je ni sahihi kunyimwa mkopo wa bank eti ulikopa Kwa kutumia Nida namba tena wanakutafuta adi waone udaiwi Sasa mtu anaweka dhamana mshahara wake bank furani wanapekua Nida kweli tutatoka jamani!!!
Huo ndio utaratibu mkuu kuna kitengo cha kufuatilia watu wasiolipa mikopo kilikuwa hakifanyi kazi yake, naona sasa kimeanza kufanya kazi yake. Kenya kimeanza zamani. Ukikopa sharti ulipe.Siku za ivi karibuni ukiwa na mkopo kwenye namba yako ya Nida basi upati mkopo kwenye Bank je ni sahihi kunyimwa mkopo wa bank eti ulikopa Kwa kutumia Nida namba tena wanakutafuta adi waone udaiwi Sasa mtu anaweka dhamana mshahara wake bank furani wanapekua Nida kweli tutatoka jamani!!!
Aha,ah,ahaMi nimekopa apps zote za mikopo online na sijawahi kurudisha madeni yao na nimeenda PBZ nimekopa na NMB pia nimekopa bila matatizo yoyote
Kuna mahusiano gani na mkopo wa bank nina dhamana kubwa ya mwajiri wanguHutakiwi kudaiwa kokote kama unataka kuchkua mkopo bank.
Hata ukiwa una deni la songesha basi hukolifai
Yes umoja wa mabenk TBA wanashirikiana ukikopa huku huwez chukua sehemu ingine otherwise waununue huo mkopoSiku za hivi karibuni ukiwa na mkopo kwenye ulikopa kwa kutumia namba yako ya NIDA basi upati mkopo kwenye Bank.
Je ni sahihi kunyimwa mkopo wa bank eti ulikopa Kwa kutumia NIDA namba tena wanakutafuta adi waone udaiwi Sasa mtu anaweka dhamana mshahara wake bank fulani wanapekua NIDA kweli tutatoka jamani