M MUHEKA PANGENDE JF-Expert Member Joined Mar 30, 2014 Posts 294 Reaction score 177 Apr 3, 2014 #1 Ndg walimu ifikapo mwakani mwezi wa 8,madeni mengi ya walimu yatakuwa yamelipwa wakati hyo pesa imeshuka dhamani.Zinduka mwalimu
Ndg walimu ifikapo mwakani mwezi wa 8,madeni mengi ya walimu yatakuwa yamelipwa wakati hyo pesa imeshuka dhamani.Zinduka mwalimu
E ENKOBE Member Joined Sep 14, 2013 Posts 95 Reaction score 8 Apr 4, 2014 #2 NAKMBUKA kinana alishatoa miez4 sita maden yote ya walm yalipwe lakn wuda huo umeisha bado mwanza hawajalpwa (sengerema) je yuko tayari kufuta kauli yake?na kuwawomba radhi waliO mtumain?
NAKMBUKA kinana alishatoa miez4 sita maden yote ya walm yalipwe lakn wuda huo umeisha bado mwanza hawajalpwa (sengerema) je yuko tayari kufuta kauli yake?na kuwawomba radhi waliO mtumain?
C CCM TUKUFU Member Joined Apr 1, 2014 Posts 21 Reaction score 2 Apr 4, 2014 #3 Bado mchakato wa mwisho unafanyika watalipwa kwani chama kinalifanyia kazi kwa umakini