Vijora na dera kwa huku dar ni vazi pendwa kutokana na hali ya hewa.Dar ni joto sana kwa hiyo vazi kidogo linaloweza kupitisha hewa ya kutosha na kusitiri mwili mzima ni kijora ama dela.Kama umetoka mkoani lazma ushangae make huko mtu kazoea kujitanda na kujifunga vitege vitatu huku ndani kuna gauni na Anda sketi.Ukivaa hivo dar utapasuka so mkuu usishangae ni vazi la kawaida sana tu pia inategemea na matumizi.
Kama hujazoe mmm hautoki nalo mbali mie labda nivae nyumbani lakini mtaani hapana, labda nianze kesho, tena haya mepesi ndiyo kwanza sitaki kabisi mtu wabara mie!!!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.