Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BBC hiyo siyo habariTakribani madereva 1,000 wa malori Watanzania wamegoma kuvuka mpakani Tunduma mkoani Songwe kuingia Zambia kwa muda usiojulikana kwa madai kuwa wamechoshwa na ahadi hewa kuhusu utatuzi wa malalamiko yao ya kunyanyaswa na maafisa wa Zambia
View attachment 1451837