Madereva 47 kutoka Tanzania wameokolewa na M23, wakimbilia Rwanda Kusubiri Msaada wa ziada

Madereva 47 kutoka Tanzania wameokolewa na M23, wakimbilia Rwanda Kusubiri Msaada wa ziada

WashaHost

Member
Joined
Jan 20, 2023
Posts
27
Reaction score
36
Mungu ni mwema sana. Hakuna hata mwanamke mmoja lakini kudai haki sawa wako active sana
Mbona wanawake wapo pia.

Screenshot_20250128-170102.png
 
Magari ndo yameenda hivyo, Okoa roho gari boss atanunua jingine
Milioni 320 imeenda.
Nitairudishaje hiii!!??
Watanzania mkibanwa kwenye kodi,tozo,bei ya mafuta,bidhaa mbalimbali, basi mjue tunatafuta namna ya kurudisha hasara zetu!!
 
Mbona watz hua tuko nyuma kwenye uokoaji si Zima moto, majini Wala kuokoa mateka?
Madereva 47 kutoka Tanzania, ambao walilia msaada kutoka kwa wanajeshi wao huko Congo (TPDF), waliokolewa na kusaidiwa na M23. Kisha walisaidiwa kuondoka katika eneo la vita na kukimbilia Rwanda, ambapo sasa wanangojea msaada kutoka kwa serikali yao ili warudi nyumbani.

View attachment 3216524
Soma: Madereva wa Malori Watanzania waliokwama Kongo waomba msaada baada ya Waasi wa M23 kuteka Goma
 
Chama cha Madereva wa Malori Tanzania (CHAKAMATA) kimesema kuwa madereva kadhaa kati ya waliokamatwa kwenye machafuko nchini DR Congo wamefanikiwa kuingia nchini Rwanda salama huku baadhi ya mali zao zikiporwa.

Kwa mujibu wa taarifa inasemekana zaidi ya madereva 40 wamekamatwa katika eneo la vita Goma huku jitihada zikiendelea kufanywa ili kuwaokoa.
 
Back
Top Bottom