Nakazia ....ni kwamba M23 ndo wamewaokoa au?Mkuuu tulia andika vizr yawezekana una taarifaa nzuri ,tulia pangilia maneno vizuri mkuuu tukuelewe
Mbona wanawake wapo pia.Mungu ni mwema sana. Hakuna hata mwanamke mmoja lakini kudai haki sawa wako active sana
Milioni 320 imeenda.Magari ndo yameenda hivyo, Okoa roho gari boss atanunua jingine
Mbona wanawake wengi sana wapo wanasukumu semis na tankers za kwenda Zambia,Congo,Malawi,Burundi na Rwanda!!??
Yaani m23 wafanye fujo halafu wawe waokoaji?!..wamewaokoa toka kwenye hatari ya nani?Nakazia ....ni kwamba M23 ndo wamewaokoa au?
Madereva 47 kutoka Tanzania, ambao walilia msaada kutoka kwa wanajeshi wao huko Congo (TPDF), waliokolewa na kusaidiwa na M23. Kisha walisaidiwa kuondoka katika eneo la vita na kukimbilia Rwanda, ambapo sasa wanangojea msaada kutoka kwa serikali yao ili warudi nyumbani.
View attachment 3216524
Soma: Madereva wa Malori Watanzania waliokwama Kongo waomba msaada baada ya Waasi wa M23 kuteka Goma
andika vizuri ,TPDF inahusika na nini hapo?Madereva 47 kutoka Tanzania, ambao walilia msaada kutoka kwa wanajeshi wao huko Congo (TPDF), waliokolewa na kusaidiwa na M23. Kisha walisaidiwa kuondoka katika eneo la vita na kukimbilia Rwanda, ambapo sasa wanangojea msaada kutoka kwa serikali yao ili warudi nyumbani.
View attachment 3216524
Soma: Madereva wa Malori Watanzania waliokwama Kongo waomba msaada baada ya Waasi wa M23 kuteka Goma
Yeah mimi sijaelewa zaidi ya kutazama videoNakazia ....ni kwamba M23 ndo wamewaokoa au?
Tanzania People defence forcesandika vizuri ,TPDF inahusika na nini hapo?