Madereva boda boda ndo wame muua Mashali...

Madereva boda boda ndo wame muua Mashali...

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Kumbe ni dereva boda boda ndo wamemua huyu Mashali
wamebishana bei ..yeye anataka kulipa 2000 ..bodaboda anataka 3000

Jamaa akiwa kalewa pia akaleta ubabe..akampiga dereva bodaboda hadi chini..

dereva akaiita mwizi....naona watu wakadhani ni mwizi wa bodaboda..
wenzie wakamvamia na kumpiga.....

source ni mwanae ambae anasema maelezo hayo amepewa na baba yake
alipomuuliza chanzo kabla hajafa....amehojiwa na Azamm Two


binafsi naona na hospitali zetu nazo zime changia vifo aina sana tu
 
Ubabe nao sio ishu, unapigiwa kelele za mwizi tu raia wanakumaliza
 
Hawa mabondia wanashangaza ukiwauliza unalipwa sh ngapi kwa pambano utasikia milioni 9
niliwahi muuliza mtu wa karibu na cheka akanijibu milioni 9
halafu ukute huyo cheka hata baiskeli hana
Nadhani huwa hawajipangi, pia wengi wengi wao wanaendekeza usela sana, mpaka yale malengo yao yanapotea bila wao kujua!
 
Nadhani huwa hawajipangi, pia wengi wengi wao wanaendekeza usela sana, mpaka yale malengo yao yanapotea bila wao kujua!

Ukienda wewe ku promotti ngumi watakula hela yako siku ya pambano hawatokei
wahuni wenzao wanapanda ulingoni bila kulipwa

uhuni ndo mwingi huo mchezo
 
Hata ukiwa na usafiri binafsi bado huwezi tembelea kila siku, wewe huna je siku zote unatembelea chimbo chako, na ungejua hali ya usafiri jana kwa barabara ya hiyo ya Moro, usingeuliza swali hilo. Hebu fika kimara mwisho, alafu pita kidogo kituo cha mabasi ya mwendo kasi, tembea mita mia tatu hivi, kama unatokea mjini, kuna gereji watu huacha magari yao pale na kupanda mabasi ya mwendo kasi. Halafu mwambie mwanao kama unae, kuwa mchezo wa ngumi hapa Tanzania haulipi, kwahiyo aswekeze huko.
 
Mabondia wote wanaishi maisha ya kuunga unga

Mchumiatumbo ambae ndo heavyweight champion wa Tz anabeba lumbesa soko la Tandika hadi leo
Wewe acha masikhara basi,ina maana huo mchezo umeshuka thamani siku hizi au ...... maana kipindi cha akina MATUMLA walikuwa wanapiga pesa ndefu sana.
 
Wewe acha masikhara basi,ina maana huo mchezo umeshuka thamani siku hizi au ...... maana kipindi cha akina MATUMLA walikuwa wanapiga pesa ndefu sana.

Hata kipindi hiko pesa haikuwa nyingi
tatizo nikuwa bondia hata umlipe milioni 20 kwa pambano
atapambana mara ngapi kwa mwaka?
ataishi vipi kila siku?

Cheka alikuwa anakusanya chupa za plastic huku anapambana
 
kosa ni kutokupatana bei kabla ya safar
 
Boda boda akili zao wanazijua wenyewe,
Case zao nyingi wanajichukulia sheria mkononi. Sasa hapo utakuta wote wameshahama kijiwe.
Nawe umejudge na hiyo version ya story, zipo version nyingi....sema wajua nini, ukimwi upo sema watanzania huwa hawaugui au kufa kwa ukimwi
 
Back
Top Bottom