Boda boda akili zao wanazijua wenyewe,Hawa dereva wa bodaboda wakikuitia mwizi tu ujue umekufa
Marehemu alikuwa hana usafiri binafsi? R.I.P !
Nadhani huwa hawajipangi, pia wengi wengi wao wanaendekeza usela sana, mpaka yale malengo yao yanapotea bila wao kujua!Hawa mabondia wanashangaza ukiwauliza unalipwa sh ngapi kwa pambano utasikia milioni 9
niliwahi muuliza mtu wa karibu na cheka akanijibu milioni 9
halafu ukute huyo cheka hata baiskeli hana
Nadhani huwa hawajipangi, pia wengi wengi wao wanaendekeza usela sana, mpaka yale malengo yao yanapotea bila wao kujua!
Umeuliza swali la msingi sana,maana kwa levo zake sio wakukosa usafiri.Marehemu alikuwa hana usafiri binafsi? R.I.P !
Wewe acha masikhara basi,ina maana huo mchezo umeshuka thamani siku hizi au ...... maana kipindi cha akina MATUMLA walikuwa wanapiga pesa ndefu sana.Mabondia wote wanaishi maisha ya kuunga unga
Mchumiatumbo ambae ndo heavyweight champion wa Tz anabeba lumbesa soko la Tandika hadi leo
Wewe acha masikhara basi,ina maana huo mchezo umeshuka thamani siku hizi au ...... maana kipindi cha akina MATUMLA walikuwa wanapiga pesa ndefu sana.
Nawe umejudge na hiyo version ya story, zipo version nyingi....sema wajua nini, ukimwi upo sema watanzania huwa hawaugui au kufa kwa ukimwiBoda boda akili zao wanazijua wenyewe,
Case zao nyingi wanajichukulia sheria mkononi. Sasa hapo utakuta wote wameshahama kijiwe.