Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Je na mabasi na malori ni wangapi je na wao waache kazi kwasababu wanakufa?Lakini GODBLESS LEMA alisema mkaanza kumkashifu
Au tuseme wale wanaosimamia Sheria wamewazira maana barabarani wameachwa waendeshe wanavyotaka,akiendesha kulia haya,akipakia abiria watatu haya,asipovaa helmet haya,asipoheshimu zebra crossing haya,akiendesha huku anaongea na kipoozeo haya,akipita barabara za waenda kwa miguu sawa,akiendesha amelewa haya,akiendesha spidi ya kukata shingo haya,mbaya zaidi wameunda majenge ya kuwatisha madereva wengine hata kuwapiga,kuwajeruhi na kuwaharibia vyombo vyao vyao usafiri .haya yanatendeka mbele ya wasimamizi wa Sheria za barabarani.sheria ni msumeno "wasiachwe inatosha Sasa"🤔Duh aiseee hatari sana