Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Muwatafune tu maana wamekuwa hawalizishwi manyumbani kwao, nyie pigeni tu mzigo tafuna tu maana hakuna namna
Sent using Jamii Forums mobile app
Aseee labd ukute hudindishiwanawapataga hao hao aisee..marufuku kbs mm ht aniguse hata bega[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Itakua mkuu acha vijana wafaidi[emoji23][emoji23]kwahyo maboda ndo wanaridhisha?
lol
Si huwa mnaswma hatuwafanyi vizuri ndiyo mnakimbiliaga kwa haya makundi wauza samaki mtaani, wauza nguo za mituma, bodaboda nk
Si huwa mnaswma hatuwafanyi vizuri ndiyo mnakimbiliaga kwa haya makundi wauza samaki mtaani, wauza nguo za mituma, bodaboda nk
Sent using Jamii Forums mobile app
Boda boda wengi chokesteti jaman mie ninengeneke na bodaboda [emoji23][emoji23][emoji23]ht km mzuri huyo wa kuagizwa tu sokon[emoji30]