Bora Uber wamesitisha hii huduma. Maana wengi wa madereva hawajielewi. Uelewa, huduma kwa wateja, usafi SIFURI
**Unamkuta dereva ananuka harufu Kama hajaoga miaka na hapo anataka ratings nzuri.
"***Ni vyema Hawa madereva wakafunzwa kabla ya kupewa magari