DOKEZO Madereva wa Daladala wagoma kwenda Kijichi

DOKEZO Madereva wa Daladala wagoma kwenda Kijichi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Madereva wamegoma kwenda Kijichi wadai hakuna abiria. Manispaa ya Temeke, magari yanayotoka Mkuranga kwenda Mbagala kupitia Kijichi!

Madereva wamegoma, wanalalamika unyanyasaji wa Mkurugenzi wa Temeke na pia hakuna abiria.

CA35909D-1B29-4303-9576-C629858BD111.jpeg
 
Mtu anayetoka mkuranga kuelekea kariakoo,mtongani,tandika hawezi akachepuka aende huko kijichi km 5 kutoka Barabara kuu ,watanzania kama mnaakili kubwa tuandamane tozoooooo,vifurushi,mgao wa maji,mgao wa umeme
 
Abiria anawahi kariakoo, unampeleka kijichi ndanindani, barabara yenyewe nyembamba kama utumbo wa sisimizi, kupishana magari mpaka mmoja asimame kwanza, mambo ya hovyo kabisa.
 
Tatizo ni nini stendi ya mbagala kuendelea kuwepo, na hapo kijichi kama mna mahaba napo mkajenga stendi pia.
 
Tatizo hawangalii uhalisia wa life plan za hovyo Kabisa huko ni kando Sana na wanaohitaji huduma ya daladala Wengi hawaishi huko mbaya Zaid kupitezeana muda tu
 
Back
Top Bottom