Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Abiria anawahi kariakoo, unampeleka kijichi ndanindani, barabara yenyewe nyembamba kama utumbo wa sisimizi, kupishana magari mpaka mmoja asimame kwanza, mambo ya hovyo kabisa.Mtu anayetoka mkuranga kuelekea kariakoo,mtongani,tandika hawezi akachepuka aende huko kijichi km 5 kutoka Barabara kuu ,watanzania kama mnaakili kubwa tuandamane tozoooooo,vifurushi,mgao wa maji,mgao wa umeme
wamejenga stend kubwa pale?Kijichi nimekaa wakati huo vihaic tu vilijaa tena vibovu si bora.Madereva wamegoma kwenda Kijichi wadai hakuna abiria. Manispaa ya Temeke, magari yanayotoka Mkuranga kwenda Mbagala kupitia Kijichi!
Madereva wamegoma, wanalalamika unyanyasaji wa Mkurugenzi wa Temeke na pia hakuna abiria.
View attachment 2399273View attachment 2399274
DED Temeke akifika Desemba nitashangaa sana !Madereva wamegoma kwenda Kijichi wadai hakuna abiria. Manispaa ya Temeke, magari yanayotoka Mkuranga kwenda Mbagala kupitia Kijichi!
Madereva wamegoma, wanalalamika unyanyasaji wa Mkurugenzi wa Temeke na pia hakuna abiria.
View attachment 2399273View attachment 2399274
Yupo vizuri sana anatoboaDED Temeke akifika Desemba nitashangaa sana !