MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Mara kadhaa napita barabara hii ya kutoka Tegeta kwenda Ubungo-Kimara, sasa ukifika hapo Mwenge mida ya saa moja jioni huwa sielewi utaratibu uko vipi, bahati nzuri huwa siwi wa kwanza kwenye foleni ya kusubiri taa ziruhusu,
Huwa nafuata mkumbo Jambo ambalo sielewi, utakuta taa zimeruhusu lakini gari haziendi, nikipepesa macho kuona kama kuna trafiki anayeongoza badala ya mataa sioni trafiki au yeyote anayeongoza magari, Sasa najiuliza huwa wanajiongoza vipi?
Soma Pia: Matrafiki wa Mwenge ndio wanaosababisha foleni, bora waache taa ziongoze