Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Fortunatus Muslimu amesema kwamba madereva wawili wa mabasi ya Rungwe na Happy Nation wamekamatwa baada ya video kusambaa kwenye mitandao ya kijamii ikionesha madereva wakishindana 'LIGI'
Hili suala la madereva ambao mmeona clip inatembea ikionesha Mabasi ya Rungwe na Happy Nation wanakimbizana ili kuona nani wa kwanza kufika kwenye stendi fulani, tumekuja kubaini hawa madereva wali-bet hiki kitendo tunakikemea kwa nguvu
Nimechukua hatua kali sana, tumewakamata wote na wako ndani na tumeandaa utaratibu wa kisheria ikiwemo kuwafikisha Mahakamani, Sheria inanipa uwezo wa kuwaondolea sifa wa kuendesha haya magari ya mizigo na biashara na kwa miezi 6 hawa hawatokuwa barabarani wakiendesha Mabasi wala Malori labda hivi vigari vidogo.
Game tamu sana hizo, acheni kabisa. kwanza hapo bado kabisa mbona? Hizo gemu tamu balaaa, kuna mtu juzi nimesema hapa ving'amujzi havifanyi kazi, akanibishia, haya nambie sasa hapo kuna speedometer gani inafanya kazi? Hao wamekamatwa baada ya video kwenda viral not tracking system ya hao siju wapi huko
Hao wapumbavu na leseni za udereva wafutiwe. Alafu yote ni hii inasababishwa na rushwa, baadhi ya mabasi hayakamatwi huko barabarani hata wakimbie vipi.