Madereva wa masafa marefu ni wasabishi wakubwa wa ajali za barabarani, wakaziwe kufata sheria

Madereva wa masafa marefu ni wasabishi wakubwa wa ajali za barabarani, wakaziwe kufata sheria

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
707
Reaction score
2,572

Ndugu zangu Watanzania hususan abiria mnao abiri hayo mabasi, jitahidini sana kuwakemea madereva wajinga kama huyo hapo kwenye video.

Eneo la makazi kama hilo ni wazi mwendo kasi ni chini ya 50. Lakini pamoja alama inayo ruhusu watembea kwa miguu kuvuka bado basi linapita likiwa mwendo kasi huku likiyapita magari zaidi ya 5 kwenye msululu.

Tupazeni sauti na tuukatae huo ujinga wa hao madereva wajinga.

Watatumaliza.
 
Back
Top Bottom