Ack
Member
- Dec 21, 2016
- 88
- 87
Kuna watu hujiita ni madereva na wapo hapa mjini kweli kwa mjini wanatesa sana na wanaendesha vizuri na control wanayo, Lakini ukija kwenye madereva wa mikoani hasa wale wanaotumia barabara za rough kiukweli wana uzoefu mkubwa mno i mean next level, hii n kutokana na changamoto wanazokutana nazo.
nimeangalia hii video kiukwel dereva kama wewe hujawahi pita ndo ikawa mara ya kwanza au hata ya 2, unaweza ukafika hapa ukaliaaaaaaaaaaaa na mweshowe ukanyamaza na ukasinzia hapo hapo.
nimeangalia hii video kiukwel dereva kama wewe hujawahi pita ndo ikawa mara ya kwanza au hata ya 2, unaweza ukafika hapa ukaliaaaaaaaaaaaa na mweshowe ukanyamaza na ukasinzia hapo hapo.