Hiyi ni wapi!?Kuna watu hujiita ni madereva na wapo hapa mjini kweli kwa mjini wanatesa sana na wanaendesha vizuri na control wanayo, Lakini ukija kwenye madereva wa mikoani hasa wale wanaotumia barabara za rough kiukweli wana uzoefu mkubwa mno i mean next level, hii n kutokana na changamoto wanazokutana nazo.
nimeangalia hii video kiukwel dereva kama wewe hujawahi pita ndo ikawa mara ya kwanza au hata ya 2, unaweza ukafika hapa ukaliaaaaaaaaaaaa na mweshowe ukanyamaza na ukasinzia hapo hapo.
Kweli kanyaga mafuta,cheza na usukani,mbele kwa mbele hata mimi naweza hilo dogo sana,enzi ya rough road,Mbeya-Sumbawanga.1988!hapo mbona kawaida sana hutakiwi kusita sita ukifika hapo ni mafuta mengi tu unapita
yani hao wamezizalilisha sana land cruiser tope kavu kabisa hilo eti wana chimba chimba watu tumepita mtoni umebaki mkonga tu unapumua na tumetoboaKweli kanyaga mafuta,cheza na usukani,mbele kwa mbele hata mimi naweza hilo dogo sana,enzi ya rough road,Mbeya-Sumbawanga.1988!