Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Faida.Wakazi wa Dodoma wamefaidi kuuza ardhi zaidi.
Kwa upande mwingine naweza kusema wamepoteza zaidi kwani walichokuwa nacho hawana tena.
Kwa asili mgogo sio mchakarikaji na sio mbunifu.
Mfano hai;
Ndugai na bunge lake ni utopolo mtupu.
Wajanja wa mikoani wamehamia Dodoma na kuanzisha shule na biashara..ndio wanufaika wakubwa.