Madereva wa Serikali sheria za barabarani haziwahusu?

Madereva wa Serikali sheria za barabarani haziwahusu?

Jumanne Mkota

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Posts
2,987
Reaction score
1,757
Salaam WanaJf,

Hivi Hawa madereva wa serikali na mashirika ya umma hizi sheria za barabarani haziwahusu? Au ni kwa sababu leseni zao hazupigwi faini! Hii ni shida kubwa mno kama Kuna watu tu eti kwa sababu ni waajiriwa was serikali Basi wapo above the law.

Haya magari mawili pichani yamesimama kwenye mzunguko (keepleft) kwa zaidi ya nusu saa hakuna Cha maana wanafanya Tena mbele ya kitui Cha polisi.

Na kusababisha adha kubwa kwa watumiaji wengine! Kama humu Kuna kwenye mamlaka anapaswa kukemea hiki kitu huko serikalini, watu wa aina hii wameshasababisha ajali nyingi mno kwa sababu wanaokufa au kupata ulemavu sio wa kwao hakuna qnayejali.
1723921629206.png
 
Moderater nisaidie kuweka hiyo picha vizuri imenishinda mimi
 
Mngewakwangua au kuwagusa kidogo uone wanavyohangaika

Ova
 
Watu wengine ni shida, sasa si ungewauliza kwa nini wanapaki hapo? Badala ya kuanzisha uzi humu? Kwani wewe si una haki ya kuuliza ?
Ni kwamba hao walikua wanatathimini uboresho wa huo mzunguko, kwa maana ya kuona wanafanyaje kuruhusu magari mawili yatumie bara bara kwa nafasi. Kumbuka mzunguko ( Roundabout ni Bara bara mbili.
 
Back
Top Bottom