Watu wengine ni shida, sasa si ungewauliza kwa nini wanapaki hapo? Badala ya kuanzisha uzi humu? Kwani wewe si una haki ya kuuliza ?
Ni kwamba hao walikua wanatathimini uboresho wa huo mzunguko, kwa maana ya kuona wanafanyaje kuruhusu magari mawili yatumie bara bara kwa nafasi. Kumbuka mzunguko ( Roundabout ni Bara bara mbili.