Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna moja nmepanda Leo asubuhi hii toka Dodoma, yaani mpaka anapotoa mguu kwenye accelerator unasikia, ni nginja, nginja.Kuna drivers na co drivers
Kuna operators na co operators
Kuna pilots na co pilots
Kuna captains na co captains
Hao CO ndio shida
Nilikuwa natoa reference ya hizo zenye kichwa na behewa, hizo hizo zingine husikii kitu zingine mikito kama yote.Sasa hivi imepita muda halijazimika njiani mnatafuta chokochoko nyingine. Ukitaka super smooth ride panda EMU hutasikia mikito. Ila hio yenye kichwa na mabehewa mikito ya hapa na pale kwenye breaking na kuondoka ni kawaida ingawa mikito sometimes inategemea na dereva.
Hata ndege ikitua kuna marubani wana smooth landing na wengine wanabamiza ndege ardhini na wote wana leseni za urubani.
Ni kawaida hasa kwenye kusimama na kuondoka.Nilikuwa natoa reference ya hizo zenye kichwa na behewa, hizo hizo zingine husikii kitu zingine mikito kama yote.
Wana leseni za kuendesha mabasi marefu.Wakati mwingine ukipanda husikii chochote na wakati mwingine ukipanda Gia na breki zote unazisikia, yaani mishituko ya hapa na pale.