Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 463
- 1,009
Sasa alaumiwe nani? ,Nakubaliana na wewe kuwa madereva hao wapunguze malalamiko wanapokuta na ofa lakini labda nikusanuwe mkuu...
Unapopata request ya uber haikuambii pale pale kama unaofa mpk utakapo maliza safari na hapa ndio shida inapoanzia,hivyo basi kwa mazingira haya hata ningekuwa mimi nisingeacha kulalamika tambua hawa hawajaajiriwa bali wamejiajiri na tena wao ndio wanawalipa hao uber kwa asilimia walizo kubaliana.
Lkn pia na wewe unaweza kuwa muungwana tu kwa kuumpa nauli halali kwani umependa uber kwasababu ya mseleleko? basi limalize kwa kumpa nauli yake halali ofa ofa ofa wakati mwingine sio nzuri wewe mtoto wa kiume.
Hata mimi ilishanitokea nikampaili akate kama ilivyoonyeshwa akakataa kurudisha nikamuachiaJamani madereva wa Uber tunajua maisha magumu kwa wote which means tukipata offer zetu msitununie sisi au kutulalamikia njia nzima as if cc ndo tumeweka bei.
Kwani cc tukiambiwa 15k hata sehem ndogo bado tunatoa Km kawa hatulalamiki Wala hatuombi mtupunguzie. Km hao Uber wanawabana hamieni Indrive au muwe boda, bajaj au taxi za kawaida kuliko kuanza kutukalamikia hela haitoshi wakati wote tunalipa iliyoandikwa kw app.
Pia madereva wengine someni wateja mkiona wapo kimya punguzeni kuleta stori mteja akiwa hayupo kw mood; jiongezeni kuliko kuongea peke yako trip nzima mpk nusu tupate ajali plz.