Cicero
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,924
- 3,074
Huu uzi ni kwa ajili ya madereva wa Uber ku-share mikasa wanayokutana nayo katika kazi zao. Nimeamua kuuanzisha baada ya dereva mmoja kunisimulia mastory ya abiria anaokutana nao hasa nyakati za usiku siku za weekend wakiwa wamekolea.
Hivi vituko vinavoendeleaga vinawakuta na wengine? Nina hamu ya kujua!
Sijui na mimi niwe Uber driver?
Hivi vituko vinavoendeleaga vinawakuta na wengine? Nina hamu ya kujua!
Sijui na mimi niwe Uber driver?