Mkuu haya mambo ni mazito...huyo mtu wa miguu or baiskeli au pikipiki ni baba,mama au tegemezi wa mtu...haya mambo ni kuwa makini tu ili yaweze kuepukika,, drive safely and observe speed limits...wape uhuru boda,bike na watembea kwa miguu nao wapite...kiukweli nimepoteza jamaa zangu makini sana kisa hizi ajali..maisha yangu yasingekua the same kama wangekuwepo...hakika.