madesigner wa nguo wakubwa tanzania! tujivunie majembe yetu

kifup wadau walio wengi kwenye io industry ya umodel wanapumuliwa kwa sana tu.........cjui ipoje ii
 
Rio huwa anaendeshwa kwenye jiRange Rover Jeusi T ----

Kumbe rio alikuwa anatokaga na chid benz wakaachana,akaenda kwa mtangazaji wa clouds(jina kapuni) nae wakamwagana ndo akahamia kwa white man had sasa
 
Kumbe rio alikuwa anatokaga na chid benz wakaachana,akaenda kwa mtangazaji wa clouds(jina kapuni) nae wakamwagana ndo akahamia kwa white man had sasa

HAHAHAAAA wazijua stori za mujini wewe.........huyo mtangazaji si umseme

raha ya umbea kuwajua wahusika ati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…