Madhaifu yetu Simba SC ni makubwa kuliko ya Yanga SC

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
WAKATI SISI TUNAMUITA KIUNGO WETU MPYA WENZETU WANAMUITA MCHEZAJI WAO WA ZAMANI

TUNAPASWA KUJIULIZA UPYA WA KIUNGO WETU NO UPI?

....SIKU ZOTE MASHABIKI WENZANGU WA SIMBA UWA HAWANIELEWI LINAPOKUJA SWALA LAKUJADILI MPIRA KITAALAMU LAKINI IPO SIKU WATANIELEWA NA WATAJUA NINI NAMAANISHA......SIMBA TUPO KWENYE HATARI KUBWA SANA

I WAS THE FIRST PERSON KUPINGA USAJILI WA JOHN BOCCO NA SHOMARI KAPOMBE, LAKINI HAKUNA ALIYENIELEWA BEFORE BUT NOW AM SURE KILA MWANASIMBA MWENZANGU WAMEANZA KUNIELEWA

NILIWAKATAA BOCCO NA KAPOMBE KWA MAMBO MATATU TU

(1) UMRI- UKIANGALIA UMRI WA BOCCO NA KAPOMBE UTAKUBALIANA NA MIMI KUWA HAWANA JIPYA TENA AMBALO WANAWEZA KUJIFUNZA NA KUJIONGEZA KATIKA MAISHA YAO YA MPIRA, TIMU YEYOTE AMBAYO INA POSITIVE FOCUS INAHITAJI WACHEZAJI WENYE UMRI MDOGO ILI WAWEZE KUTUMIKA KWA MDA MREFU NA IKIWEZEKANA KIWAUZA NJE YA NCHI KWA FAIDA YA TIMU NA KLABU KWA UJUMLA

(2) MAJERUHI YAKUDUMU AMBAYO WANAYO-HAKUNA ASIYEFAHAMU KUWA BOCCO NA KAPOMBE WALIFIKIA HATUA YA KUPELEKWA AFRICA KUSINI NA KLABU YAO YA ZAMANI YA AZAM KUTOKANA NA KUWA MAJERUHI WA MARA KWA MARA, LAKINI ATA PALE WALIPORUDI KUTOKA KWENYE MATIBABU HAWAKUWEZA KUEPUKANA NA MAJERUHI, KATIKA ORODHA YA WACHEZAJI AMBAO WAMEKAA BENCHI SANA MSIMU ULIOPITA KUTOKANA NA KUWA MAJERUHI WA MARA KWA MARA BASI ORODHA HIYO JOHN BOCCO NA KAPOMBE HAWAKOSI KUWEMO , AZAM SIYO WAJINGA KUWASIMAMIA MATIBABU YA HALI YA JUU NA MWISHO WA SIKU WANAWAACHA, HAPA AZAM WAMEANGALIA MAJAMBO MAWILI KWANZA WAMEANGALIA UMRI WAO LAKINI PIA WAMEANGALIA FITNESS YA WACHEZAJI HUSIKA NA MWISHO WA SIKU WAMEONA HAWATAKUWA NA FAIDA KWA KLABU.....JIULIZE KWANINI AZAM WALIKUWA WAGUMU KUMUACHIA GADIEL MICHAEL KWENDA YANGA? KWA SABABU WALIANGALIA UMRI WA GADIEL NA FITNESS YAKE WAKAGUNDUA KUWA NI POTENTIAL KWA KLABU NDIYO MAANA WALIWEKA VIPINGAMIZI SANA KUMUACHIA

(3) UWEZO WA WACHEZAJI HUSIKA-UKIMUANGALIA KAPOMBE WA SASA SIYO YULE AMBAYE ALITOKA SIMBA KWENDA AZAM MIAKA KADHAA ILIYOPITA, LAKINI PIA HAUNA SABABU YAKUELEZEWA SANA UWEZO WA BOCCO UWANJANI NANI AMESAHAU NIMKUMBUSHE BOCCO HUYU HUYU NDIYE AMBAYE ALIJITOA KUICHEZEA TIMU YA TAIFA BAADA YA MASHABIKI SISI SISI WA SIMBA KUMZOMEA SANA KUTOKANA NA UWEZO MDOGO AMBAO ALIKUWA ANAUONYESHA NA PIA HALI YAKE YAKUKOSA MAGOLI YA WAZI KABISA....AU LEO TUMESHASAHAU KWA KUWA TU TUMEMSAJILI? MPAKA SASA BOCCO NDANI YA SIMBA AMECHEZA MECHI NNE ZA KIRAFIKI LAKINI HANA ATA GOLI MOJA JAPO LAKUOTEA...HUYU NDIYE FORWAD KWELI AMBAYE TUNAMTEGEMEA KWENYE MECHI ZA NDANI NA ZAKIMATAIFA?

MPAKA SASA BOCCO NA KAPOMBE NDIYO MIONGONI MWA WACHEZAJI MAJERUHI NA AMBAO HAWATAKUWEPO KATIKA MECHI DHIDI YA WATANI ZETU YANGA...HAWA NDIYO TUNAWAITA WACHEZAJI WETU WAPYA , UPYA WAO UKO WAPI SASA?

KAMA KUNA SEHEMU NIMESEMA UONGO KWENYE POST HII NIONYESHE NIOMBE RADHI

HILI NI TATIZO KUBWA

-na Wajey Diego




 
Nilisema mahali mawazo kama hayo. Azam wanazo taarifa za siri za madaktari wa Sauzi kuhusu Boko na Kapombe.

Simba Wanaweza kuwepeleka Sauzi kwenye matibabu kama Azam?
 
Umeongea ukweli mtupu ila kuna watu wengine hawapendi kusikia ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilisema mahali mawazo kama hayo. Azam wanazo taarifa za siri za madaktari wa Sauzi kuhusu Boko na Kapombe.

Simba Wanaweza kuwepeleka Sauzi kwenye matibabu kama Azam?
Licha ya kuwa hawa jamaa wawili ni injury prone... kwa pamoja wameikamua Mkia FC takribani Dola 94,000/= . Just Imagine. kapombe ligi haijaanza yuko nusu kaputi. Bocco naye ndio kama ulivyo sema..Azam wamewafichia medical reports ili kuwafanyia fadhila wachezaji wao wasije onekana ni mabunzi,
 


Najikuta nimecheka hadi machozi yananitoka!

Sent using Jamii Forums mobile app

 
Mimi ningekua mwanchama wa Simba, jambo ambalo ningepambana nalo ni kumuweka pembeni huyu msemaji wao,.. Anaropoka tu kuwafurahisha wanachama hata kwa jambo ambalo halina faida.. Hakuna mwaka Simba watalia kama mwaka huu.... We subir, muda utaongea... Ni usajili wa majina yasiyo na faida na wala msaada.. Subir Ligi ianze.....

"Ukifuga njiwa utajua bei ya mtama"
 
Yanga lipen deni jengo lenu linapigwa mnada

na subirini goli saba bila next week
 
Simba has nothing to do with that stricking force! Yaani bila ya kubadili mbinu hawatafika popote.
 
Ndala saumu inawasumbua, kiasa kwamba yake anayaona madogo, msubiri kichuya akupe jibu

Simba 7 Yanga 0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…