Hakuna uwezekano wa kuziba mifereji? au matatizo ya prostate? Hasa kama matatizo yataanza mapema kwenye miezi 2-3 hivi?Dah.
Swali gumu hili. Hakuna madhara kama utaendelea kuwa karibu na mkeo kwa maana ya kumhudumia na kumdekeza. Ukichepuka utanasia, ndio madhara makubwa zaidi utakayopata.
Hakuna uwezekano wa kuziba mifereji? au matatizo ya prostate? Hasa kama matatizo yataanza mapema kwenye miezi 2-3 hivi?
Kufanya mapenzi na mkeo wakati ana mimba inaruhusiwa ni wanawake tu ndo wanaowabaniaga .....muwe mnaenda kwenye cliniki za RCH na wake zenu ili muwe mnapewa taarifa muhimu...mkeo akia mbiwa apewe bed rest na dokta mwamche ....Fanya shughuli msaidie ...kazi ngumu kubeba mimba miezi 9 sio kazi rahisiJF Doctors
Ninataka nijue kama kuna madhara ambayo mwanaume anaweza kupata kutoshiriki tendo la ndoa wakati alikuwa amezoea kufanya hivyo kwa mara kwa mara na mke wake. Hii inatokea wakati mwanamke amepata ujauzito na mara complication zinaanza na anapewa bedrest na kushauriwa asishiriki na mume wake tendo la ndoa mpaka atakapojifungua.
Je, kuna madhara yoyote ambayo mwanaume aweza kupata na ni jinsi gani ya kuyakwepa?