Madhara mafuta ya breki(Brake Fluid)

Madhara mafuta ya breki(Brake Fluid)

Dr leader

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2016
Posts
893
Reaction score
1,021
Habari Madaktari na wafamasia, watu wengi tumekuwa tukitumia mafuta ya breki kujitibu mba.

Nimepita mahali nimesikia yana madhara. Naomba kujua yana madhara gani?
 
Mwili hauna uwezo wa kuvimeng'enya zile chemical zilizopo brake fluid
 
Subai/takwenya

Suala la medical misinformation na disinformation limekuwa likisababisha binadamu kujitibu au kupata tiba zisizo sahihi.

Watu wengi wanaosumbuliwa na ugonjwa wa ngozi maarufu kama mba wamekuwa wakishauriwa kutumia mafuta ya breki kujitibu. Wasiwasi wangu ni kuwa, kweli mwili wa binadamu unaweza kuhimili kuchakata viambata vilivyo kwenye mafuta hayo bila kuacha madhara makubwa kwa binadamu?

Kuna sehemu nimesoma kuwa matumizi ya mafuta ya break kwenye mwili wa binadamu hupelekea matatizo ya ini na figo.

JamiiCheck naomba mnisaidie hili, naamini majibu yenu yatasaidia wengi sana maana matumizi ya mafuta ya breki kutibu mba ni makubwa sana.
 
Nilitumia oil chafu kutibu fungua walionipata mguuni, hapo vipi?
 
Back
Top Bottom